Mpira Mpirani!
Football fans, are you ready?
Kuanzia tarehe 11 Julai 2026, Kaunti ya Kwale itageuka kuwa kitovu cha soka la vijana wa umri wa chini ya miaka 25 wakati Rashidabdallah Super Cup (RASC) 7th Edition itakapochukua nafasi yake tena kwenye kalenda ya michezo ya Pwani.
Lakini hii siyo tournament ya kawaida.
Katika editions zilizopita, tumeshuhudia vipaji vikionekana, vikifuatiliwa na scouts, na baadhi ya wachezaji kupata nafasi za kujiunga na klabu za Football Kenya Federation Sportpesa League na ngazi nyingine za juu za soka.
Kwa vijana wengi, hii si mechi tu...
Ni opportunity.
Ni showcase.
Ni hatua moja kuelekea ndoto zao za kucheza professional football.
Mwaka huu, timu 44 kutoka Kwale, Mombasa na Tana River zitapambana katika viwanja vya:
- Waa Pry Stadium
- Kombani Ground
- Mkokoni Ground
- Denmak Ground – Maganyakulo
Kila tackle, kila assist na kila goal inaweza kubadilisha maisha ya mchezaji.
Na sasa swali ni...
- Team yako imepangwa na nani?
- Mhasimu wako ni nani?
- Uko tayari kuwatumia message gani kabla ya kickoff?
“Fixture imetoka, excuses nazo zianze kutoka mapema!”
Beyond the competition, RASC continues to unite communities, inspire young talent, and showcase the beauty of #DestinationKwale through sports.
This is where football meets opportunity.
This is where talent meets scouts.
This is where sports meets tourism.
Na mwisho wa safari, macho yote yataelekezwa kwenye Fainali kubwa itakayochezwa Kwale Stadium mwezi Disemba.
Tag team yako. Tag mchezaji wa kuangaliwa. Tag yule mhasimu ambaye ameanza kutafuta excuses kabla hata ya mechi kuanza.
Tukutane Mpira Mpirani!
#RASC #MPIRAMPIRANI #DestinationKwale #SportsTourism #WhereSportsMeetsTourism #TalentToTheTop #FootballTourism #VisitKwale #YouthFootball

